Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ambazo zinadai kuwepo kwa mgawanyika wa wachezaji kutokana na madai ya mishahara
Taarifa iliyotolewa na Yanga imesema madai hayo hayana ukweli wowote, yana lengo la kuichafua Yanga, wadhamini wake kampuni ya GSM na kuibua taharuki

ADVERTISE HERE