Kikosi cha Yanga tayari kiko mkoani Tanga kikiendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal union
Jumapili Februari 23 Yanga itakuwa mgeni wa Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkwakwani
Leo Yanga imefanya mazoezi kwenye uwanja wa shule ya Sekondari Popatlal
ADVERTISE HERE