Pengo la Makambo halijazibika Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2020
Pengo la Makambo halijazibika Yanga

Katika msimu wake mmoja alioitumikia Yanga, mshambuliaji Heritier Makambo alifunga mabao 25 katika mashindano yote

Mpasa sasa ligi ikiingia raundi ya 23, Yanga imefunga mabao 25 tu huku ikiruhusu mabao 18, ikikabiliwa na changamoto katika safu yake ya ushambuliaji

Ni dhahiri kwa mujibu wa takwimu hizo, Yanga haijaweza kuziba pengo la Makambo ambaye alikuwa kiongozi wa safu ya ushambuliaji

Usajili wa mshambuliaji David Molinga ulitarajiwa kuwa mbadala wake lakini nae kasi yake ya kufunga mabao ni ndogo

Ni dhahiri mwezi Juni Yanga itarejea tena sokoni kusaka mshambuliaji huku baadhi ya mashabiki wakitamani kumuona Makambo anarejea tena Jangwani

Yanga ilimuuza Makambo kwenda klabu ya Horoya AC ya nchini Guinea ambako alisaini mkataba wa miaka mitatu

Hakuanza vyema kunako klabu hiyo lakini sasa ameanza kuaminiwa na kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’