Kiungo Haruna Niyonzima amepigiwa kura na mashabiki kushinda tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ambao ulipigwa jana Jumanne kwenye uwanja wa Ushirika, Moshi
Niyonzima ameshinda tuzo hiyo kwa kuwashinda mshambuliaji Tariq Seif na Lamine Moro
Hongera kwake kwa kushinda tuzo hiyo...!
ADVERTISE HERE