FT : Polisi Tanzania 1-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2020
FT : Polisi Tanzania 1-1 Yanga

Yanga imeshindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa tatu mfululizo baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa ushirika

Yanga ilitangulia kupata bao la kuongoza kwenye dakika ya 40 kupitia kwa Tariq Seif aliyeunganisha kwa kichwa pasi murua ya Bernard Morrison

Kipindi cha pili Polisi Tanzania walifanikiwa kusawazisha bao hilo kupitia kwa Sixtus Sabilo kwenye dakika ya 70

Ulikuwa ni mchezo uliokuwa na ushindani kutoka kila upande, kwa nyakati tofauti Yanga walikuwa bora lakini Polisi Tanzania waliongeza presha kwenye kipindi cha pili na kufanikiwa kusawazisha bao hilo

Yanga imefikisha alama 40 baada ya kushuka dimbani mara 21

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’