Yanga kamili kuikabili Polisi Tanzania leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2020
Yanga kamili kuikabili Polisi Tanzania leo

Kikosi cha Yanga jioni ya leo kitashuka kwenye uwanja wa Ushirika Moshi kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali

Yanga iliwasili Moshi juzi ambapo siku ya jana ilikamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo huo

Baada ya kulazimishwa matokeo ya sare katika michezo miwili iliyopita, mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji ushindi leo

Matokeo tofauti na ushindi yataongeza presha kwa kikosi cha Luc Eymael ambaye amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiboresha timu hiyo

Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz amewataka mashabiki wa timu hiyo Moshi na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

Mchezo huo unatarajiwa kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa soka kwani Yanga inafahamika kwa kuwa na uungwaji mkono mkubwa kutoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’