Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho mjini Moshi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania
Yanga imejifua katika uwanja wa Ushirika ambao utatumika kwenye mchezo huo hapo kesho
Mabingwa hao wa kihistoria wanasaka alama tatu muhimu ili kuweka hai matumaini ya kusaka ubingwa wa 28 ligi kuu ya Tanzania Bara
Abeid Mziba, Meneja wa Yanga amesema wachezaji wote waliosafiri na timu hiyo wana ari kubwa na wako tayari kuikabili Polisi Tanzania hapo kesho
ADVERTISE HERE