Mshambuliaji Bernard Morrison ameibuka nyota wa mchezo mechi ya jana dhidi ya Tanzania Prisons baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga
Morrison ameibuka mshindi baada ya kuwashinda nahodha Papy Tshishimbi na Lamine Moro
Morrison alikuwa bora kwenye mchezo huo licha ya kukosa mkwaju wa penati ambao aliusababisha yeye mwenyewe
ADVERTISE HERE