Uongozi wa klabu ya Yanga umeunda Kamati ya Ujenzi na Miundombinnu ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia michakato mbalimbali ya ujenzi ukiwemo uwanja na Hostel za klabu ya Yanga huko Kigamboni
Kamati hiyo inaongozwa na Mwenyekiti Injinia Bahati Mwaseba Makamu wake akiwa Dk Athumani Kihamia

ADVERTISE HERE