Ushindani wa namba utaniimarisha - Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2020
Ushindani wa namba utaniimarisha - Fei Toto

Kiungo wa Yanga, Fei Toto amesema ana tabia za kudhamiria ndoto yake hata kama anapitia changamoto lakini huwa anaamini ipo siku atafanikiwa kufikia anapopataka.

Fei Toto kwa sasa hapati nafasi ndani ya kikosi cha kwanza cha Yanga, amesema hilo haliwezi kufifisha ndoto yake kwenda kucheza nje.

"Unajua kuna watu wanaona kama nimeridhika na kuishia kucheza soka la Bongo, bado nina ndoto kubwa na ipo siku itakuja kujidhihirisha wazi na wataamini ninachokisema kwa sasa,"amesema.

Kuhusu kutocheza ndani ya kikosi cha kwanza cha Yanga, amesema anaichukulia kama changamoto ya kuendelea kupambana kuboresha kiwango chake.

"Ushindani wa namba unafanya kikosi kiwe imara, naufurahia kwani nikipata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza kama msimu ulioisha, naamini wale ninaocheza nao nafasi yangu na wao wataongeza bidii kwa faida ya timu,"amesema

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’