Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons
Jana jioni Yanga iliendelea na mazoezi yake uwanja wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam
Mchezo dhidi ya Tanzania Prisons utapigwa uwanja wa Taifa, kesho Jumamosi Februari 15, saa moja usiku





ADVERTISE HERE