Yanga imeupiga mwingi, bahati ilikosekana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Feb 2020
Yanga imeupiga mwingi, bahati ilikosekana

Kiwango walioonyesha Yanga kipindi cha pili, kama wangeanza na moto huo tangu mwanzo, mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City usingeisha kwa sare

Yanga ilianza mchezo taratibu ambapo mwanzoni waliwapa Mbeya City Uhuru wa kumiliki mpira na baadae kujipatia bao ambalo hata hivyo lilikuwa la kujifunga beki Lamine Moro

Safu ya ushambulaji leo ilikosa umakini kwani pamoja na kutengeneza nafasi nyingi, bao lililopatikana ni moja

Wakati mwingine bahati huhitajika kwenye mechi za aina hii kuweza kupata matokeo kwani kwa wingi wa mashambulizi ambayo Yanga walifanya hasa kwenye kipindi cha pili, walistahili kufunga bao zaidi ya moja

Kwa ujumla Yanga ilikuwa bora kuliko wapinzani wao, bahati iliwabeba Mbeya City

Mabingwa hao wa kihistoria wanajipanga kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons, ambao utapigwa Jumamosi, Februari 15, 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’