Timu 18 zinatarajiwa kushuka dimbani leo ukiwa ni mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21
Wakati mechi nane zikitaraiwa kupigwa saa 10 jioni, Mabingwa wa kihistoria Yanga wao watashuka dimbani saa moja usiku kuikabili Mbeya City
Hii hapa ratiba kamili

ADVERTISE HERE