Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuundwa upya kwa baadhi ya Kamati ambazo zitashirikikiana na Kamati ya Utendaji kusimamia shughuli za maendeleo ya klabu hiyo
Mwezi uliopita Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alitangaza kuvunja Kamati zote
Kamati zilizoundwa upya ni Kamati ya Fedha na Mipango, Kamati ya Sheria na Nidhamu, Kamati ya Ufundi, Kamati ya Matawi na Wanachama na Kamati ya Habari na Hamasa

ADVERTISE HERE