Leo kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mshambuliaji mpya wa Yanga Tariq Seif Kiakala
Mwamba huyu aliyejiunga na Yanga akitokea nchini Misri alikokuwa ameenda kucheza soka la kulipwa, amebeba matumaini ya Wanajangwani ambao wameonyesha kuwa na imani nae tangu alipoanza kuvaa uzi wa mabingwa hao wa kihistoria
Tariq amesema anafahamu nini Wanayanga wanataka, hatawaangusha
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY TARIQ..
ADVERTISE HERE