Nchimbi ashinda tuzo ya mchezaji bora mechi ya Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2020
Nchimbi ashinda tuzo ya mchezaji bora mechi ya Ruvu Shooting

Mshambuliaji Ditram Nchimbi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Yanga ambao ulipigwa jana kwenye uwanja wa Uhuru

Nchimbi aliwashinda Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi

Wadhamini wa Yanga kupitia magodoro ya GSM Foam wameanzisha utaratibu wa kutoa tuzo ya mchezaji bora kwenye kila mchezo ambaye atakuwa akizawadiwa godoro maridhawa

Kwenye mchezo wa jana Nchimbi alikuwa katika kiwango bora ambapo ndiye aliyetengeneza bao la Yanga lililofungwa na David Molinga

Zoezi la kumchagua mchezaji bora liliendeshwa kwenye ukurasa wa Yanga wa mtandao wa Twitter

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’