Nyota wa zamani Yanga kuinoa Pamba Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2020
Nyota wa zamani Yanga kuinoa Pamba Fc

Kiungo wa zamani wa Yanga mkongwe Salvatory Edward Augustino, ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Pamba Fc ya jijini Mwanza

Salvatory amechukua nafasi ya mkongwe mwingine wa Yanga Fred Felix Minziro ambaye alitimkia Alliance FC

Salvatory aliichezea Yanga miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kabla ya kustaafu na kuwa kocha wa timu ya vijana 'Yanga Kids'

Mkongwe huyo amepewa jukumu la kuirudisha Pamba ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’