Jana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting, kiungo fundi Haruna Niyonzima alivaa jezi namba nane ambayo ilikuwa ikivaliwa na Mohammed Issa 'Banka'
Ni baada ya Banka kuridhia kumuachia Niyonzima jezi hiyo ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi
Alipotua mwishoni wa Disemba 2019, Niyonzima alikabidhiwa jezi namba 18 ambayo ilikuwa ikitumiwa na Juma Balinya aliyetimkia Gor Mahia baada ya kufikiwa makubaliano ya kuvunja mkataba wake
ADVERTISE HERE