Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amelitaka Baraza la Michezo (BMT) kumpa majibu ya malalamiko ya maamuzi katika ligi mbalimbali nchini ndani ya siku tatu kuanzia kesho Februari 6, 2020.
Waziri Mwakyembe amechukua hatua hiyo kufuatia kuwepo kwa mfululizo wa matukio ya uonevu baina ya vilabu hususani maamuzi ya viwanjani hasa katika Ligi Kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE