TFF yazuia maoni mitandao ya kijamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2020
TFF yazuia maoni mitandao ya kijamii

Katika hali ya kushangaza, Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) jana lilizuia kurasa za kutoa maoni kwenye kurasa yake ya Instagram baada ya mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa, ulimalizika kwa Simba kushinda mabao 2-1

Hata hivyo tukio kubwa lililoibua mjadala mkali ni mwendelezo wa waamuzi kuendelea kufanya makosa kwenye michezo ya Simba ambapo jana mfungaji wa bao la kwanza la Simba John Bocco alionekana kuotea waziwazi

Tukio hilo liliibua sintifahamu miongoni mwa wadau wa soka nchini, lakini hawakuweza kutoa maoni yao kwenye kurasa za TFF kwani waendeshaji wa kurasa hizo walifunga sehemu ya kutoa maoni baada ya kuweka matokeo na video za magoli

Tukio hilo limeonekana kuwashangaza wadau wa soka kwani TFF sio mali ya mtu bali ni ya Watanzania wote, wadau wa soka na wana haki ya kutoa maoni/malalamiko juu uwendeshaji wa ligi

Kuzuia watu kutoa maoni yao kwa makosa yanayoonekana dhahiri inatoa taswira mbaya na kuibua maswali mengi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’