Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano, Februari 05 kwenye uwanja wa Taifa, saa moja jioni







ADVERTISE HERE