Eymael aja na utaratibu wa kulinda afya za Wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2020
Eymael aja na utaratibu wa kulinda afya za Wachezaji

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael ameanzisha utaratibu wa kipekee ambapo kila baada ya mechi wachezaji wote waliocheza hufanyiwa vipimo vya afya kuangalia utimamu wa miili yao

Utaratibu huo hufanya asubuhi kwenye mazoezi ya siku inayofuata baada ya mchezo

Kwa utaratibu huo madaktari wa Yanga wanaweza kubaini haraka wachezaji wanapopata majeraha na kuwapa tiba stahiki mapema

Ni utaratibu ambao utaiwezesha Yanga kuondokana na changamoto ya kuwa na majeruhi wengi

Wakati wa kocha Mwinyi Zahera, Yanga ilikuwa ikifikisha mpaka majeruhi 13 jambo ambalo kwa kiasi kikubwa liliathiri mwenendo wa timu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’