Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla ametangaza kuahirishwa kwa Mkutano Mkuu wa dharura wa Wanachama wa klabu hiyo ambao ulikuwa ufanyike Februari 16 2020
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga imebainisha kuwa tarehe mpya ya Mkutano huo itatangazwa baadae
ADVERTISE HERE