Yanga kuendeleza burudani uwanja wa Taifa Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2020
Yanga kuendeleza burudani uwanja wa Taifa Jumapili

Baada ya kusahauliwa kupangiwa mechi na Bodi ya Ligi, hatimaye kikosi cha Yanga kitashuka dimbani siku ya Jumapili Februari 02 kuikaribisha Mtibwa Sugar katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Hii ni siku nyingine kwa mashabiki wa Yanga kupata burudani kutoka kwa vijana wao wakiongozwa na Bernard Morrison ambaye ni habari ya mjini kwa sasa

Mtibwa Sugar wamecheza na Azam Fc leo na kufanikiwa kupata sare ya bao 1-1

Viingilio vya mchezo wa Jumapili, VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’