Kabwili afichua Simba walivyotaka kumuhonga gari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2020
Kabwili afichua Simba walivyotaka kumuhonga gari

Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili amefichua kuwa msimu uliopita kuna viongozi wa klabu ya Simba walimuahidi kumnunulia gari aina ya IST kama atafanya makosa ili apewe kadi ya njano katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania

Wakati huo Kabwili alikuwa na kadi mbili za njano ambapo baada ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ambao ulikuwa ukifuata ni dhidi ya Simba

Kabwili amefunguka mkasa huo kupitia East Africa Radio

"Mchezo wa kwanza alidaka Beno Kakolanya, mzunguko wa pili tulibaki mimi na Kindoki, nilikuwa na kadi mbili za njano na ilibaki michezo mitatu kucheza na Simba Sc," alisema

"Ilikuwa dhidi ya Coastal, Singida na JKT Tanzania. . Nilicheza na kumaliza salama michezo miwili bila kupata kadi dhidi ya Coastal na Singida. . ndipo nikafuatwa na viongozi fulani wa Simba wakaniahidi kunipatia gari mpya IST na kwa uhakika zaidi watanisainisha document zote za umiliki wa gari kabla ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania ila kwa sharti moja tu nipate kadi ya njano ili mchezo dhidi yao niukos"

"Waliamini kama angedaka Kindoki wangepata magoli mengi. sikukubaliana nao na siwezi kufanya hayo, kiukweli nilipata usumbufu mkubwa sana na ni sababu iliyonifanya niache kutumia line ya Tigo ili kuwakwepa"

Hapa ndipo mpira wa Tanzania ulipofika...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’