Mapema leo wajumbe wa Kamati ya Ujenzi na Miundombinu ya Yanga, na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wamekutana kujadili masuala mbalimbali ikiwamo hatua za awali za ujenzi wa Uwanja na Academy ya Yanga huko Kigamboni




ADVERTISE HERE