Mechi za raundi ya nne kombe la Azam

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2020
Mechi za raundi ya nne kombe la Azam

Raundi ya nne ya michuano ya kombe la Azam (ASFC) inapigwa wikiendi hii kwa timu 64 kushuka dimbani

Wakati michezo nane ikitarajiwa kupigwa leo, mabingwa wa kihistoria Yanga wao watashuka dimbani kesho Jumapili kuwakabili Tanzania Prisons katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Watani zao Simba watashuka katika uwanja huo leo kuwakabili Mwadui Fc wakati Azam Fc watakamilisha raundi hiyo siku ya Jumatatu kwa kuwakabili Friends Rangers

Ratiba ya mechi zote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’