Uongozi wa klabu ya Yanga umeandika barua kwa TFF ukitaka mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa keshokutwa Jumapili, Januari 26, uhamishiwe uwanja wa Taifa
Mchezo huo wa raundi ya nne ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru
Msemaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema tayari wamepeleka maombi yao TFF na wana matumaini kuwa ombi lao litakubaliwa
ADVERTISE HERE