Januari ilikuwa ngumu kwetu - Ngasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2020
Januari ilikuwa ngumu kwetu - Ngasa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa amesema ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Singida United jana umewapa nguvu mpya

Ngasa amesema wachezaji hawakuwa na furaha wakiwa hawajashinda mchezo wowote kwenye ligi tangu kuingia kwa mwaka 2020 kabla ya ushindi wa jana

"January ilikuwa ngumu kwetu kupata ushindi Ilikuwa yanichanganya imefanya mpaka nimefungiwa," ameandika Ngasa kwenye mtandao wa Instagram

"Leo tumeshinda, asante mashabiki kwakutupa moyo na kutuamini na leo tumepata matokeo mazur"

"Hongera kwa wachezaji wote kwa kupigania ushindi na hongera wadhamini wetu wote na kubwa GSM"

"Tunawashukuru mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mechi ya le,  tunawashukuru sana kuwa nasi katika kipindi cha furaha na huzuni tukiwa pamoja"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’