Mashabiki waiponza Yanga mechi dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2020
Mashabiki waiponza Yanga mechi dhidi ya Simba

Klabu ya Yanga Sc imetozwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na mashabiki wake kurusha chupa za maji kuelekea uwanjani na pia wakati wa mapumzikokwenye mchezo dhidi ya Simba uliopigwa Januari 04 2020

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kamati ya TFF ya saa 72, mashabiki hao pia waliwarushia chupa za maji waamuzi wakati wanaelekea vyumbani katika mechi hiyo iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa kanuni ya 43(1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Klabu.

Katika hatua nyingine, Kamati ya Saa 72 imezipiga faini Klabu za Tanzania Prisons na Yanga Sc Tsh.500,000/=(Laki Tano) kila mmoja kwa kosa la kutokuwakilisha vikosi vya timu zao kwenye kikao cha maandalizi ya mchezo katika mechi hiyo iliyochezwa Disemba 29,2019 katika Uwanja wa Samora mjini Iringa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’