Tarehe na mwezi kama wa leo miaka 29 iliyopita alizaliwa mshambuliaji mahiri wa Yanga Amissi Tambwe.
Leo Tambwe anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, tunamtakia kila la kheri mkali huyu wa mabao.
Tambwe tangu ajiunge na Yanga miaka mitatu iliyopita amekuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa wa VPL kwa misimu yote mitatu.
Amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti na kumfanya msimu huu ashindwe kuitumikia Yanga katika mchezo wowote wa ligi.

ADVERTISE HERE