Droo ya hatua ya awali ya kusaka tiketi ya kutinga fainali za kombe la dunia mwaka 2022 upande wa Afrika, imefanyika nchini Misri
Tanzania imepangwa kundi J pamoja na nchi za DR Congo, Bennin na Madagascar
Ni timu moja tu inapaswa kusonga mbele hatua inayofuata

ADVERTISE HERE