Michezo ya raundi ya nne ya michuano ya kombe la Azam (ASFC) inaanza kupigwa kesho Jumanne kwenye viwanja mbalimali
Mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons utapigwa Jumapili, Januari 26 2020 katika uwanja wa Uhuru
Ni baada ya Yanga kumaliza mchezo wa ligi dhidi ya Singida United ambao utapigwa uwanja wa Namfua keshokutwa

ADVERTISE HERE