Yanga yairejesha Kamati ya Mashindano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2020
Yanga yairejesha Kamati ya Mashindano

Katika jitihada za kuirejesha Yanga katika makali yake, uongozi wa timu hiyo umeunda Kamati Mpya ya Mashindani ambayo itakuwa na wajumbe 22

Kamati hiyo imeundwa siku chache baada ya uongozi kutangaza kuvunja Kamati zote, ni kutokana na umuhimu wake

Kamati hiyo itaongozwa na Rodgers Gumbo huku Makamu Mwenyekiti akiwa Hamad Islam

Wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati hiyo;

1. Eng Hersi Said

2. Beda Tindwa

3. Thobias Lingalangala

4. Edward Urio

5. Max Komba

6. Salum Mkemi

7. Yusuphed Mhandeni

8. Yanga Makaga

9. Adonis Bitegeko

10. Eng Heriel Mhuro

11. Eng Isack Usaka

12. Hassan Hussein

13. Pelegrinius Rutayuga

14. Lameck Nyambaya

15. Kawina Konde

16. Eugen Maro

17. Majid Selemani

18. Said Ntimizi

'19. Mussa Katabaro

20. Deo Mutta (Kati bu wa Kamati)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’