Kituo kinachofuata ni Singida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2020
Kituo kinachofuata ni Singida

Baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo Yanga inaelekea mkoani Singida kuikabili Singida United katika mchezo unaofuatia wa ligi kuu

Mchezo huo utapigwa Jumatano, Januari 22 kwenye uwanja wa Namfua

Kocha Luc Eymael bado anasaka ushindi wake kwa kwanza akiwa na kikosi cha Yanga

Hivyo ni mchezo ambao atahitaji kutumia silaha zake zote kupata alama tatu

Pamoja na uhusiano mzuri kati ya Yanga na Singida United, timu hizo zimekuwa na ushindani mkali dimbani

Singida United imesajili wacheza 17 dirisha dogo, wachezaji watatu Raphael Daudi, Cleofas Sospeter na Muharami Issa 'Marcelo' wamesajiliwa kutoka Yanga

Timu hiyo pia imewaongeza nyota wengine waliowahi kuichezea Yanga Haruna Moshi 'Boban', Haji Mwinyi Mngwali na Athumani Iddi 'Chuji'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’