Yanga kumaliza machungu kwa Azam Fc leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2020
Yanga kumaliza machungu kwa Azam Fc leo?

Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa mabao 3-0 na Kagera Sugar, leo Yanga ina nafasi ya kurekebisha makosa itakapochuana na Azam Fc katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa saa moja jioni

Ni mchezo ambao matokeo tofauti na ushindi yanaweza kumuweka kwenye presha mapema kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael

Lakini pia ni mchezo ambao vijana wa Eymael wanahitaji kuongeza umakini ili kuweza kupata matokeo kwani Azam Fc ni moja ya timu bora kwenye ligi msimu huu

Washambuliaji David Molinga na Tariq Seif pamoja na kiungo nahodha Papy Tshishimbi wanatarajiwa kuongeza nguvu Yanga baada ya kurejea kikosini

Yanga pia imewaongeza mawinga Erick Kabamba na Bernard Morrison ambao inaelezwa vibali vyao viko tayari

Hata hivyo Morrison alijiunga na timu jana, atahitaji muda zaidi wa kufanya mazoezi na wenzake

Leo Eymael huenda akafanya mabadiliko ya kikosi alichokitumia mchezo dhidi ya Kagera Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’