Kabamba ampiku Bonyanga usajili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2020
Kabamba ampiku Bonyanga usajili Yanga

Erick Kabamba raia wa Zambia ni kiungo mshambuliaji ambaye amesajiliwa na Yanga baada ya benchi la ufundi kujiridhisha na uwezo wake

Kabamba amekuwa kwenye kikosi cha Yanga kwa zaidi ya wiki mbili akifanya majaribio

Mzambia huyo anamudu nafasi zote za ushambuliaji kutokea pembeni iwe namba 7 au 11

Inaelezwa alionyesha ubora kumzidi Mcongoman Owe Bonyanga ambaye Yanga ilimleta nchini lakini haikumsajili baada ya kushindwa kulishawishi benchi la ufundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
26m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’