Mexime yuko tayari kumsaidia Eymael Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2020
Mexime yuko tayari kumsaidia Eymael Yanga

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar Meckie Mexime amesema pamoja na kuwa na Leseni A ya ukocha inayotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) ambayo inampa sifa ya kuwa kocha mkuu wa timu yoyote, yuko tayari kujiunga na Yanga kuwa Kocha Msaidizi

Mexime ambaye juzi aliiongoza Kagera Sugar kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu, amesema anachoangalia ni maslahi na kama Yanga watamlipa zaidi ya anacholipwa na Kagera Sugar atajiunga nao

Wakati wowote uongozi wa Yanga utamtangaza kocha msaidizi ambaye atashirikiana na kocha mkuu Luc Eymael pamoja na kocha wa viungo Riedoh Berdien ambaye pia ni kocha msaidizi namba mbili

"Nina Leseni A ya Caf (Shirikisho la Soka Afrika), Yanga wananihitaji niwe kocha msaidizi sina tatizo mimi naangalia maslahi wakinipa zaidi ya ninachopata Kagera Sugar nitaenda," alisema kocha huyo.

Hata hivyo Mexime amesisitiza kuwa bado ana mkataba na Kagera Sugar ambao anauheshimu hivyo Yanga inapaswa kumalizana na Kagera Sugar kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’