Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua nchini tayari kuanza kazi na mabingwa hao wa kihistoria
Morrison amesajiliwa na Yanga dirisha dogo akitokea klabu ya DC Motema Pembe ya DR Congo
Ujio wake utaongeza uimara wa safu ya ushambuliaji hasa pembeni kwani kwa asili yeye hucheza winga
ADVERTISE HERE