Yanga imekamilisha usajili wa dirisha dogo kwa kusajili wachezaji sita wapya
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wapya ni sita, walioachwa ni sita na waliotolewa kwa mkopo ni wanne
Wachezaji wapya
Haruna Niyonzima
Ditram Nchimbi
Tariq Seif
Yikpe Gnamien
Adeyum Saleh
Bernard Morisson
Walioachwa
David Molinga
Issa Bigirimana
Maybin Kalengo
Mustafa Selemani
Sadney Urikhob
Juma Balinya
Waliotolewa kwa mkopo
Muharami Issa (Singida United)
Cleofas Sospeter (Singida United)
Said Mussa (Lipuli Fc)
Saad Khasim (Lipuli Fc)
ADVERTISE HERE