Winga Yusufu Mhilu leo amewaadhibu waajiri wake wa zamani akifunga moja ya mabao ya Kagera Sugar katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Yanga
Mhilu hakushangilia bao lake, ameipa heshima Yanga ikiwa timu iliyomuibua
Mhilu wa Kagera Sugar amekomaa, ni mchezaji hatari sana
Mpaka sasa amefunga mabao saba kwenye ligi
Yanga ina kila sababu ya kumrudisha 'nyumbani' kinda huyu mwenye umri wa miaka 20
Kama amekosekana dirisha dogo linalofungwa leo, mwezi Juni atizamwe kwa jicho la kipekee
ADVERTISE HERE