GSM, Mdhamini wa Yanga ambaye ni mzalishaji na Msambazaji wa jezi za klabu hiyo kupitia Brand Chapa, GSM leo Jumatano kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar ameweka mezani kitita cha Tsh Miloioni 10 kwa ajili ya motisha ya wachezaji
Mchezo utapigwa saa 10 jioni Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam
Wachezaji wataondoka na 'mkwanja' huo kama wataifunga Kagera Sugar
ADVERTISE HERE