Keshokutwa Jumatano januari 15 2020 dirisha dogo la usajili litafungwa saa 5:59 usiku
Mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa nyota watano ambao ni Tariq Seif, Adeyum Saleh, Haruna Niyonzima, Ditram Nchimbi na Yikpe Gnamien

Uongozi wa Yanga umefunguka kuwa bado kuna nyota wawili wanaweza kusajiliwa katika kipindi cha saa 48 zilizobaki
Je ni eneo gani ambalo unadhani Yanga inahitaji kuliboresha?
ADVERTISE HERE