Huko Yanga hakuna ujanja-ujanja kwenye mavazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2020
Huko Yanga hakuna ujanja-ujanja kwenye mavazi

Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na wadhamini wao kampuni ya GSM, wamewekea mkazo utaratibu wa mavazi ya wachezaji na benchi la ufundi

Utaratibu mpya ni kuwa wachezaji wanapokuwa safarini au nje ya majukumu ya dimbani watavaa mavazi yanayofanana kuanzia juu mpaka chini

Utaratibu huo pia utalihusu benchi la ufundi

GSM inaendelea kushusha aina tofauti za mavazi ambayo yatapatikana kwenye maduka yao kwa ajili ya mashabiki pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’