Mkandala afichua kilichomkwamisha kutua Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2020
Mkandala afichua kilichomkwamisha kutua Yanga

Kiungo wa Prisons, Cleoface Mkandala amefichua kilichomkwamisha asitue Yanga licha ya kufanya mazungumzo na mwenyekiti Dk Mshindo Msollo.

Mkandala anamaliza mkataba wake Prisons msimu huu, amesema haikuwa rahisi kwa viongozi wake kumwachia kutokana na kuhitaji huduma yake.

Amekiri walifanya mazungumzo na Dk Msolla, lakini yeye hakuwa na nguvu kwa kuwa alikuwa mali ya Prisons, hivyo aliacha viongozi wamalizane.

"Kama bado wataendelea kunihitaji basi watanichukua nikiwa huru kwa sasa nisingeweza kufanya lolote kwa sababu nina mkataba nao"

Amesema anaamini atafika mbali kwa sababu soka ni kazi yake, hivyo popote anapohitajika atafanya kazi

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’