Kikosi cha Yanga kuweka kambi Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2017
Kikosi cha Yanga kuweka kambi Morogoro
Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Stand United, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Morogoro kuweka kambi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa nane dhidi ya Simba, Jumamosi, Oktoba 28.

Yanga na Simba zinakutana kwenye mchezo rasmi wa ligi kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kukutana katika mchezo wa ngao ya Jamii na Simba kuibuka na ushindi wa matuta baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana.

Mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Uhuru unatarajiwa kuwa na upinzani mkali hasa ukizingatia timu zote zina alama 15 Simba ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi Yanga ikifuatia kwa tofauti ya mabao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’