Beki wa Azam FC na timu ya Taifa Aggrey Moris amepata pigo baada ya kufiwa na mkewe ambaye alikuwa kwenye harakati za kujifungua jana
Tunatoa salamu za pole kwenda kwa familia ya Moris, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huo
ADVERTISE HERE