Fainali kombe la FA kupigwa Sumbawanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2020
Fainali kombe la FA kupigwa Sumbawanga

Mchezo wa fainali michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC) utapigwa mkoani Rukwa uwanja wa Nelson Mandela, May 30 2020

Msimu uliopita mchezo wa fainali kati ya Azam Fc dhidi ya Lipuli Fc ulipigwa uwanja wa Ilulu mkoani Lindi

Mkoa wa Rukwa umekosa timu inayoshiriki ligi kuu kwa miaka mingi, uamuzi huo utawawezesha wakazi wa Sumbawanga na maeneo ya jirani kushuhudia mchezo huo wa fainali ambao bingwa atajihakikishia tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho

Mapema leo TFF kwa kushirikiana na Azam iliendesha droo ya raundi ya nne ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’