Yanga vs Prisons raundi ya nne kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2020
Yanga vs Prisons raundi ya nne kombe la FA

Droo ya michuano Kombe la Shirikisho la Azam Sports raundi ya nne na ya tano (32 Bora na 16 bora) imefanyika leo

Mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga wamepangwa kucheza na Tanzania Prisons katika mchezo wa raundi ya nne ambao utapigwa kati ya Januari 24 na 26 uwanja wa Uhuru

Mechi zote za raundi ya nne;

88-Gwambina vs Ruvu Shooting

89- African Sport vs Alliance fc

90- Police Tz vs Mbeya tz

91-Ndanda fc vs Dodoma fc

92-Majimaji fc vs Stand Unite

93-Ihefu fc vs Gipco fc

94-Kmc vs Pan African

95-Panama fc vs Mtivilwa fc

96-Namungo fc vs Biashara united

97-Mtibwa sugar vs Sahare All Star

98-JKT Tanzania vs Tukuyu star

99-Simba sc vs Mwadui fc

100- Young Africa vs Tanzania Prisons

101-Azam fc vs Friends rangers

102-Kagera sugar vs Mighty Elephant

103- Lipuli fc vs Kitayosa fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’