Adeyum aahidi makubwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2020
Adeyum aahidi makubwa Yanga

Beki mpya wa Yanga, Adeyum Saleh amesema bado anadeni kubwa kwa Wanayanga ila muda utaongea zaidi.

Adeyum amecheza mechi tatu akiwa na Yanga dhidi ya Biashara United na Simba pamoja na mechi ya jana dhidi ya Jamhuri aliyofunga Yanga ikishinda 2-0 katika Kombe la Mapinduzi.

Katika mahojiano na gazeti la Mwanaspoti, Adeyum alisema haijawa rahisi kwake kuingia moja kwa moja katika kikosi cha kwanza hivyo atapambana muda wote lengo ni kuona namba yake haipotei kikosini.

"Najua kuna mashabiki wengi hawana imani na mimi ninachoweza kuwaambia ni kwamba muda utaongea nina michezo mingi ya kuchezo hivyo nitaendelea kupambana zaidi lengo ni kuona mchango wangu kwenye timu unaonekana hilo linawezekana," alisema.

"Mafanikio ninayoyapata sasa hayanivimbishi kichwa ndio kwanza yananipa nguvu za kuendelea kupambana zaidi naamini kama nitaendelea kuaminiwa zaidi naweza kuifanyia Yanga kitu kikubwa na mimi mwenyewqe kuendeleza kipaji changu kwa mafanikio," alisema Adeyum.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
35m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’